FREEMAN MBOWE AHAMISHIWA DAR ES SALAAM KWA AJILI YA MATIBABU ZAIDI | MALUNDE 1 BLOG

Tuesday, June 9, 2020

FREEMAN MBOWE AHAMISHIWA DAR ES SALAAM KWA AJILI YA MATIBABU ZAIDI

  Malunde       Tuesday, June 9, 2020

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amewahamishiwa jijini Dar es Salaam kwa ajili ya matibabu zaidi baada ya kushambuliwa usiku wa kuamkia leo jijini Dodoma.

Mnadhimu wa Kambia Rasmi ya Upinzani Bungeni, Esther Bulaya amesema baadae wataeleza ni hospitali gani kiongozi huyo ambaye pia ni Mbunge wa Hai anapelekwa.

Kiongozi huyo alishambuliwa usiku wa kumkia leo wakati akirejea nyumbani kwake majira ya saa sita usiku, na miongoni mwa maeneo aliyoumia ni pamoja na mguu wa kulia.

Viongozi mbalimbali wamefika kumjulia hali Mbowe ambao ni pamoja na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge, Job Ndugai, Naibu Spika, Tulia Ackson


Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post