Shirika la Afya Duniani (WHO) limeonya kuwa zoezi la kupulizia dawa ya kuua viuatilifu(fumigation) barabarani au sokoni hakuondoi virusi vya Corona na badala yake kunahatarisha afya.
Taarifa ya WHO imesema, kufanya hivyo hakuwezi kuwa na tija katika kukabiliana virusi vya corona
Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527