WAGONJWA WA CORONA UGANDA WAFIKA 114 BAADA YA WENGINE 13 KUONGEZEKA


Nchi ya Uganda imepata maambukizi mapya 13 ya Corona na kufikisha idadi ya wagonjwa kuwa 114.

Miongoni mwa wagonjwa hao wapya, 7 ni madereva kutoka Kenya, 4 madereva wa Uganda huku 2 ni kutoka Tanzania.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527