SUKARI TANI 600 YAINGIA NCHINI....WAZIRI BASHUNGWA ATOA ONYO KWA WATAKAOPANDISHA BEI | MALUNDE 1 BLOG

Thursday, May 14, 2020

SUKARI TANI 600 YAINGIA NCHINI....WAZIRI BASHUNGWA ATOA ONYO KWA WATAKAOPANDISHA BEI

  Malunde       Thursday, May 14, 2020

Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Innocent Bashungwa (Mb), leo tar. 14 Mei, 2020 ametembelea shehena ya awali ya tani 600 iliyopokelewa katika bandari ya Mwanza.


Mhe. Bashungwa amewahakikishia wananchi kuwa Sukari iliyoingia nchini na kusambazwa Mikoa mbalimbali ya Nchi inaenda kumaliza changamoto ya upatikanaji wa Sukari.

Amewaagiza wakuu wa mikoa yote nchini kuhakikisha sukari inauzwa kwa bei elekezi iliyotangazwa na serikali huku akiahidi kuwachukulia hatua kali za kisheria wafanyabiashara watakaopandisha bei. 


Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post