NAIBU WAZIRI WA AFYA DKT FAUSTINE NDUGULILE AKANUSHA TAARIFA KWAMBA NI MGONJWA


Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt Faustine Ndugulile, amekanusha taarifa za kwamba yeye ni mgonjwa na hali yake ni mbaya, zilizosambazwa kwenye mitandao ya kijamii.

Dkt Ndugulile amezikanusha taarifa hizo kupitia ukurasa wake wa Twitter leo Mei 11, 2020, na kusema kuwa taarifa hizo zipuuzwe kwamba yeye ni mzima wa afya.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post