
Msanii wa Nyimbo za Asili Nyanda Madirisha Obhado 'Maliganya kutoka Kahama mkoani Shinyanga anakualika kutazama video ya wimbo unaitwa Kifo cha Ishamo Mashine,ambaye alikuwa Mnenguaji/ Dancer wake aliyefariki dunia Aprili 15,2020. Ishamo Mashine alivunjika mgongo baada ya kupata ajali na wenzake wakitoka kwenye Show mwaka 2019 na mwili wake kupooza kwa takribani miezi 10 ambapo alitibiwa katika Hospitali mbalimbali kisha kurudishwa kwa waganga wa tiba za asili kuendelea na tiba mpaka umauti unamfika.
Tazama hapa chini
Tazama hapa chini
Social Plugin