HALIMA MDEE AKUTWA NA KESI YA KUJIBU KATIKA KESI YA KUTOA MANENO YA KUUDHI DHIDI YA RAIS


Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemkuta na kesi ya kujibu, Mbunge wa Kawe, Halima Mdee,  katika kesi ya uchochezi ya kutoa maneno ya kuudhi dhidi ya Rais John Magufuli. 


Uamuzi huo umetolewa leo tarehe 28 Mei, 2020 na Hakimu Mkazi Mkuu Thomas Simba.

Inadaiwa Julai 3, 2017 katika ofisi za Makao Makuu ya CHADEMA zilizopo mtaa wa Ufipa Wilayani Kinondoni, Mdee alitamka maneno  ya kuudhi dhidi ya Rais Magufuli


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527