TUME YA USHINDANI NCHINI (FCC) YATOA ONYO KWA WAFANYABIASHARA WANAOPANDISHA BEI YA SUKARI


Tume ya Ushindani Nchini (FCC) imetoa onyo kwa Wasambazaji na Wauzaji wa jumla na rejareja wa sukari nchini kuwa ni kosa kisheria kujihusisha na vitendo vya upandishaji bei na kuwataka kuacha mara moja


Imesema kitendo cha hivi karibuni cha baadhi ya Wafanyabiashara kupandisha bei ya sukari hadi kufikia Tsh. 4,000 kwa KG 1 ili kujipatia faida kubwa isivyo halali kwa kuwaumiza walaji pindi mahitaji ya sukari yatakapoongezeka ni kosa


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post