TAARIFA KWA UMMA KUFUATIA KUONDOLEWA KARANTINI (LOCKDOWN) KATIKA MJI WA WUHAN VILIKOANZIA VIRUSI VYA CORONA


Baada ya lock down ya wiki kadhaa, sasa rasmi Wuhan,China imeanza kuruhusu Watu kusafiri kutoka eneo hilo ambalo linaaminika kuwa kitovu cha virusi vya corona hii ni baada ya maambukizi kupungua




Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527