SPIKA JOB NDUGAI AKABIDHIWA MASHINE MAALUM YA KUJIKINGA NA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA CORONA JIJINI DODOMA

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepokea msaada wa mashine za kupuliza dawa mwilini ili kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa Corona kutoka kwa kampuni ya Taifa Gas.


Mashine hizo zimepokelewa na Spika wa Bunge Job Ndugai, Bungeni jijini Dodoma leo.Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post