RAIS MAGUFULI ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA ASKOFU GETRUDE RWAKATARE


Rais Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa Familia,Wabunge na Waumini wa Kanisa la Mlima wa Moto kufuatia kifo cha Askofu Getrude Rwakatare.


Rais Magufuli amesema Askofu Rwakatare alikuwa Mcha Mungu, mwenye upendo, asiye na majivuno, aliyepigania umoja na amani na aliyeipenda Tanzania.Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post