UGANDA YARIPOTI MGONJWA WA KWANZA WA CORONA, MUSEVEN KULIHUTUBIA TAIFA LEO | MALUNDE 1 BLOG

Sunday, March 22, 2020

UGANDA YARIPOTI MGONJWA WA KWANZA WA CORONA, MUSEVEN KULIHUTUBIA TAIFA LEO

  Malunde       Sunday, March 22, 2020

Wizara ya Afya Uganda imethibitisha kisa cha kwanza cha corona, mgonjwa ni Mwanaume Raia wa Uganda mwenye umri wa miaka 36 ambaye ameingia Uganda akitokea Dubai.


Rais wa Uganda Yoweri Museveni, amesema kuwa ifikapo saa 10:00 jioni ya Machi 22, 2020, atalihutubiwa Taifa la Uganda na kueleza ni hatua gani watachukua ili kukabiliana na kuenea kwa ugonjwa hatari unaosababishwa na Virusi vya Corona.

Rais Museveni ameyaandika hayo kupitia ukurasa wake wa Twitter.

"Kutokana na uthibitisho wa kisa kimoja cha mgonjwa wa COVID-19 nchini Uganda, leo saa 10:00 jioni, nitalihutubia Taifa juu ya hatua gani zaidi za kuchukua ili kupunguza kuenea kwa ugonjwa huu. Asante." ameandika Rais Museveni.


Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post