RAIA WAWILI WA AFRIKA KUSINI NCHINI JAPAN WAPATA CORONA | MALUNDE 1 BLOG

Sunday, March 1, 2020

RAIA WAWILI WA AFRIKA KUSINI NCHINI JAPAN WAPATA CORONA

  Malunde       Sunday, March 1, 2020

Watu wawili raia wa Afrika Kusini, wafanyakazi katika meli ya ‘Diamond Princess Cruise Ship’ wamekutwa na virusi vya Corona nchini Japan.

Hii ni kesi ya kwanza ya virusi vya Corona kwa wananchi wa Afrika Kusini ndani na nje ya nchi.

Alhamis Februari 27, rais wa nchi hiyo Cyril Ramaphosa, alitangaza kuwarudisha nyumbani wananchi wote wa Afrika Kusini waliopo Wuhan, China, eneo mlipuko wa virusi hivyo ulipoanzia.

Huku virusi vya Corona vikiendelea kutapakaa sehemu mbalimbali duniani, kwa Afrika Nigeria wiki hii, imerekodi muathirika wa virusi vya Corona ambaye ni raia wa Italia.


Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post