MSANII MWANA FA AKUTWA NA VIRUSI VYA CORONA...ATOA UJUMBE KWA WATANZANIA | MALUNDE 1 BLOG

Thursday, March 19, 2020

MSANII MWANA FA AKUTWA NA VIRUSI VYA CORONA...ATOA UJUMBE KWA WATANZANIA

  Malunde       Thursday, March 19, 2020

Msanii wa muziki wa Hip Hop hapa nchini Mwana FA, amekutwa na maambukizi ya homa kali inayosababishwa na virusi vya Corona na kwamba amewekwa karantini na kwa sasa anaendelea vizuri.

Kupitia video aliyorekodi Mwana FA ameeleza kuwa siku chache zilizopita alikwenda nchini Afrika Kusini na wakati anarudi alianza kujihisi kuwa na homa kali.


Hali hiyo ilimfanya kwenda hospitali na kutaka apimwe kubaini kama ana corona na majibu yametoka leo yakionyesha kuwa ana ugonjwa huo.
 
"Nilivyorudi nikajitenga ili kuhakikisha siambukizi wengine, ugonjwa huo unaweza ukampata mtu yoyote na homa niliyokuwa nayo juzi haipo tena kwa sasa nipo shwari, tujihadhari tu, COVID-19 si ugonjwa wa kutisha sana, kwa sababu tumekuwa tukipata magonjwa mabishi zaidi ya hii" amesema Mwana FA.Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post