KAMBI YA JESHI LA MAREKANI NCHINI IRAQ YASHAMBULIWA KWA MAKOMBORA, WATATU WAFARIKI


Jeshi la Marekani limethibitisha kuwa askari wake wawili wameuawa katika shambulizi la maroketi dhidi ya kituo chake nchini Iraq. 

Askari hao wawili wa Marekani na mhudumu mwingine kutoka Uingereza wameuawa katika shambulizi hilo dhidi ya kambi ya Taji, kaskazini mwa Iraq, huku wengine kadhaa wakijeruhiwa. 

Kambi hiyo inayotumiwa na muungano wa nchi kadhaa za Magharibi zikiongozwa na Marekani  imeshambuliwa kwa makombora 18


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post