JOHN MNYIKA, JOHN HECHE NA SALUM MWALIMU WATOKA GEREZANI | MALUNDE 1 BLOG

Friday, March 13, 2020

JOHN MNYIKA, JOHN HECHE NA SALUM MWALIMU WATOKA GEREZANI

  Malunde       Friday, March 13, 2020

Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika, Naibu Katibu Mkuu, Salum Mwalimu na mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche wametoka gereza la Segerea leo.


Mpaka sasa viongozi wote wa Chadema wametolewa jela isipokuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe ambaye mpaka sasa bado yuko gerezani.


Viongozi wengine wa Chadema ambao wameachiwa ni wabunge Halima Mdee (Kawe), Esther Bulaya (Bunda Mjini), Esther Matiko (Tarime Mjini) na Peter Msigwa (Iringa Mjini).Chama hicho kimechangisha fedha kutoka kwa wanachama wake na watu wengine ambao wameguswa na hukumu ya viongozi hao ambao walihukumiwa kifungo cha miezi 5 jela au kulipa faini ya Milioni 350.
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post