WANAJESHI WA SYRIA WANAOSAIDIWA NA URUSI WAKAMATA MAENEO ZAIDI KUTOKA NGOME YA WAASI WANAOUNGWA MKONO NA UTURUKI | MALUNDE 1 BLOG

Wednesday, February 26, 2020

WANAJESHI WA SYRIA WANAOSAIDIWA NA URUSI WAKAMATA MAENEO ZAIDI KUTOKA NGOME YA WAASI WANAOUNGWA MKONO NA UTURUKI

  Malunde       Wednesday, February 26, 2020

Mashambulizi makali ya angani ya vikosi vya serikali ya Syria yamewauwa karibu watu watatu leo kaskazini mashariki mwa Syria, ambako vijiji kadhaa, zikiwemo ngome kuu za waasi katika eneo la mwisho linalodhibitiwa na upinzani, vimekamatwa katika siku chache zilizopita.

Machafuko hayo yamekuja wakati ujumbe wa Urusi ukitarajiwa kuwasili leo nchini Uturuki kuanzisha tena mazungumzo yanayolenga kupunguza mvutano katika mkoa wa kaskazini magharibi wa Idlib. 

Zaidi ya watu 900,000 wamekimbia makazi yao katika karibu miezi mitatu.


Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post