MARAIS WASTAAFU BENJAMIN MKAPA NA JAKAYA KIKWETE WAWASILI KENYA KWA AJILI YA MAZISHI YA RAIS MSTAAFU WA KENYA, HAYATI DANIEL ARAP MOI

Marais wastaafu Mhe. Benjamin Mkapa na Mhe. Jakaya Kikwete walipowasili jijini Nairobi kwa ajili ya Mazishi Rasmi ya Rais mstaafu wa Kenya, Hayati Daniel arap Moi.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post