MTANZANIA MFUPI ZAIDI DUNIANI KUPANDA MLIMA KILIMANJARO AKUTANA NA WAZIRI KIGWANGALLA

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla akizungumza na Masoud Juma Hussein (Mtanzania Mfupi Zaidi Duniani kuweka rekodi ya Dunia [Guinness World Records] kwa kupanda mlima Kilimanjaro) nje ya ukumbi wa Bunge jijini Dodoma leo. Masoud Juma Hussein amefika Bungeni kushuhudia kikao cha 8 cha Mkutano wa 14 wa Bunge kwa mwaliko aliopewa na Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla.

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla akiwa katika picha ya pamoja na Masoud Juma Hussein (Mtanzania Mfupi Zaidi Duniani kuweka rekodi ya Dunia [Guinness World Records] kwa kupanda mlima Kilimanjaro) nje ya ukumbi wa Bunge jijini Dodoma leo. Wengine ni Samwel C. Malugu – Meneja wa Masoud na Edward Hugolin Shirima Msaidizi wake.

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla akiwa katika picha ya pamoja na Masoud Juma Hussein (Mtanzania Mfupi Zaidi Duniani kuweka rekodi ya Dunia [Guinness World Records] kwa kupanda mlima Kilimanjaro) nje ya ukumbi wa Bunge jijini Dodoma leo.

PICHA/WMU.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post