BONDIA DEONTAY WILDER AMTUPIA LAWAMA KOCHA WAKE BAADA YA KUTANDIKWA NA TYSON

Bondia Deontay Wilder amemfukuza kazi kocha wake Mark Breland kufuatia kupigwa TKO round ya 7 vs Tyson Fury na kupoteza Ubingwa wa Dunia uzito wa juu WBC.

Wilder anaamini Mark alikosea kurusha taulo ulingoni kuashiria kuwa Wilder hawezi kuendelea tena na pambano


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post