ASKARI WATATU WAFARIKI DUNIA KWA AJALI


Askari watatu wa Jeshi la Polisi Mkoani Njombe wamefariki dunia na wengine sita kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha magari matatu ikiwemo gari la polisi ambalo lilikuwa likipeleka askari Lindoni.RPC Njombe Hamis Issa amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post