RAIS MAGUFULI AFANYA ZIARA KWENYE HIFADHI YA TAIFA YA KISIWA CHA RUBONDO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa na samaki aina ya Sangara waliowavua Ziwa Victoria walipofanya ziara ya Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa Cha Rubondo wilayani Chato mkoa wa Geita leo Desemba 31, 2019
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwa amefanikiwa kuvua samaki aina ya Sangara Ziwa Victoria wakati wa ziara ya Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa Cha Rubondo wilayani Chato mkoa wa Geita leo Desemba 31, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisindikizwa na Kamishna wa Uhifadhi wa TANAPA Dkt. Allan Kijazi baada ya kuhitimisha ziara ya Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa Cha Rubondo wilayani Chato mkoa wa Geita leo Desemba 31, 2019.PICHA NA IKULU

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post