RAIS MHE.DKT.MAGUFULI AFUNGUA JENGO LA MAHAKAMA YA WILAYA YA CHATO PAMOJA NA KUZINDUA UJENZI WA KITUO CHA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI CHA WILAYA YA CHATO MKOANI GEITA | MALUNDE 1 BLOG

Wednesday, December 18, 2019

RAIS MHE.DKT.MAGUFULI AFUNGUA JENGO LA MAHAKAMA YA WILAYA YA CHATO PAMOJA NA KUZINDUA UJENZI WA KITUO CHA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI CHA WILAYA YA CHATO MKOANI GEITA

  TANGA RAHA BLOG       Wednesday, December 18, 2019


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe pamoja na Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma, Spikawa Bunge Job Ndugai pamoja na Waziri wa Katiba na Sheria Balozi Agustine Mahiga kuashiria ufunguzi waJ engo la Mahakama ya Wilaya ya Chato mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma mara baada ya kufungua jengo la Mahakama ya Wilaya ya Chato lililopo Mlimani Chato mkoani Geita.
Raiswa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania MheshimiwaDkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi wa Chato(hawaonekanipichani) wakati akiwasili katika viwanja vya Mahakama ya Wilaya ya Chato mkoani Geita. Kulia ni Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua eneo la Mapokezi katika jengo jipya la Mahakama ya Wilaya yaChato lililopo eneo la Mlimani Chato mkoani Geita mara baada ya kulifungua.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimi wa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi wa Chato mara baada ya kufungua jengo la Mahakama la Wilaya ya Chato.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa naMke wake Mama Janeth Magufuli wa pili kutoka kulia waliokaa, Spika wa Bunge Job Ndugai watano kutoka kulia waliokaa, JajiMkuuwa Tanzania Profesa Ibrahim Juma wanne kutoka kushoto waliokaa pamoja na viongozi wengine wa Mkoa pamoja na viongozi wa Kidini mara baada ya kufungua jengo jipya la Mahakama ya Wilaya ya Chato.


Moja ya Vyumba vya Mahakama hiyo ya Wilaya ya Chato kama inavyoonekana pichani.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe kuashiria uwekaji wa Jiwe la Msingi mradi wa ujenzi wa Kituo cha Jeshi la Zimamoto la Wilaya ya Chato mkoani Geita.Sehemu ya Jengo la Kituo cha Jeshi la Zima moto naUokoaji cha Wilaya ya Chato kilichowekewa Jiwe la Msingi leo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli. PICHA NA IKULU


Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post