MUONEKANO WA JENGO LA KISASA LA ABIRIA KATIKA UWANJA WA NDEGE JIJINI MWANZA MARA TU UJENZI WAKE UTAKAPOKAMILIKA

Ujenzi wa jengo hilo la kisasa umeanza Septemba mwaka huu na litagharimu takribani shilingi bilioni 12.


Gharama za ujenzi ni kodi za wananchi kupitia mapato ya Jiji la Mwanza, Manispaa ya Ilemela na Serikali Kuu.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527