RC SHIGELLA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WAMILIKI WAPYA WA KIWANDA CHA KUZALISHA SARUJI CHA RHINO TANGA

MKUU wa Mkoa wa Tanga Martine Shigella akizungumza na wamiliki wapya wa  kiwanda cha Kuzalisha Saruji cha Rhino kilichopo Jijini Tanga ambao walifika ofisini kwake kujitambulisha wa kwanza kulia ni Mkurugenzi wa Jiji la Tanga Daudi Mayej
MKUU wa Mkoa wa Tanga Martine Shigella akizungumza na wamiliki wapya wa  kiwanda cha Kuzalisha Saruji cha Rhino kilichopo Jijini Tanga ambao walifika ofisini kwake kujitambulisha kushoto  ni Mkuu wa wilaya ya Tanga Thobias Mwilapwa
VIONGOZI mbalimbali wakifuatilia mazungumzo hayo kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Tanga Thobias Mwilapwa na aliyevaa miwani kulia ni Mkurugenzi wa Jiji la Tanga Daudi Mayeji na Katibu Tawala wa wilaya ya Tanga (DAS) faidha Salim

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527