ALIYEKUWA MKURUGENZI USALAMA WA TAIFA AFARIKI DUNIA
Monday, October 07, 2019
Mkurugenzi mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa, nchini Apson Mwang’onda amefariki Dunia leo Oktoba 7, 2019 akiwa Afrika Kusini alipokuwa akipatiwa matibabu dhidi ya maradhi yaliyokuwa yakimsimbua.
Apson Mwang’onda alistaafu kazi hiyo Agosti 21, mwaka 2006 kwa mujibu wa sheria.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin