TIGO TANZANIA YACHANGAMKIA FURSA ZA MKUTANO WA MAWAZIRI WA SADC


Mkurugenzi Mtendaji kutoka Tigo, Simon Karikari, akiwasilisha mada kuhusu Upatakanaji wa huduma za Mawasiliano vijijini, wakati wa Mkutano wa Mawaziri wa SADC wa Sekta ya Tehama, Habari, Uchukuzi na Hali ya Hewa, uliofanyika katika Ukumbi wa JNICC DSM, jana. Tigo ni kampuni pekee yenye internet ya kasi ya 4G+ na ndio mtoa huduma rasmi ya Wi-Fi katika wa mkutano huo.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527