Live : KINACHOENDELEA BUNGENI DODOMA LEO


Mkutano wa 16 wa Bunge, Kikao cha 11, unaendelea katika makao makuu ya nchi ambapo shughuli za Bunge zimeanza kwa spika kumuapisha mbunge wa Singida Mashariki kwa tiketi ya CCM, Miraji Mtaturu.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post