Picha : MAKAMU WA RAIS AFUNGUA TAMASHA LA JAMAFEST 2019 JIJINI DAR ES SALAAM | MALUNDE 1 BLOG

Sunday, September 22, 2019

Picha : MAKAMU WA RAIS AFUNGUA TAMASHA LA JAMAFEST 2019 JIJINI DAR ES SALAAM

  Malunde       Sunday, September 22, 2019
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akipiga ngoma kuashiria ufunguzi wa Tamasha la JAMAFEST lililoanza Septemba 21-28, 2019 katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Tamasha la Sanaa na Utamaduni kwa nchi za Afrika Mashariki likiwa tayari limefanyika katika nchi tatu, Kigali (Rwanda), Nairobi (Kenya), Kampala (Uganda) na sasa linafanyika Dar es Salaam, Tanzania.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akifungua Tamasha la JAMAFEST lililoanza Septemba 21-28, 2019 katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Tamasha la Sanaa na Utamaduni kwa nchi za Afrika Mashariki likiwa tayari limefanyika katika nchi tatu, Kigali (Rwanda), Nairobi (Kenya), Kampala (Uganda) na sasa linafanyika Dar es Salaam, Tanzania.

Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Mchezo Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza wakati ufunguzi wa Tamasha la JAMAFEST lililoanza Septemba 21-28, 2019 katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Tamasha la Sanaa na Utamaduni kwa nchi za Afrika Mashariki likiwa tayari limefanyika katika nchi tatu, Kigali (Rwanda), Nairobi (Kenya), Kampala (Uganda) na sasa linafanyika Dar es Salaam, Tanzania.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Michezo na Utamaduni wa Rwanda Mhe. John Ntigengwa akizungumza wakati wa ufunguzi wa Tamasha la JAMAFEST lililoanza Septemba 21-28, 2019 katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Tamasha la Sanaa na Utamaduni kwa nchi za Afrika Mashariki likiwa tayari limefanyika katika nchi tatu, Kigali (Rwanda), Nairobi (Kenya), Kampala (Uganda) na sasa linafanyika Dar es Salaam, Tanzania.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan (kushoto) akisalimiana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Michezo na Utamaduni wa Rwanda Mhe. John Ntigengwa (kulia) mara baada ya kufika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, Tanzania.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Msanii wa muziki wa Bongofleva Diamond Platnumz wakati wa ufunguzi wa Tamasha la #JAMAFEST linalofanyika jijini Dar es Salaam, Tanzania kuanzia Septemba 21-28, 2019.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan (kushoto) akisalimia wananchi mara baada ya kufika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, Tanzania katika ufunguzi wa JAMAFEST.


Meza kuu...

Brass Bendi ikiongoza nyimbo za Taifa za mataifa ya #Tanzania #Kenya #Uganda #Burundi #Rwanda wakati wa uzinduzi wa Tamasha la #JAMAFEST2019 #JAMAFEST linalofanyika jijini Dar es Salaam, Tanzania.
Bendera za mataifa yanayoshiriki Tamasha la #JAMAFEST 2019
Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya Diamond Platnumz akitoa burudani wakati wa Ufunguzi wa Tamasha la #JAMAFEST linalofanyika jijini Dar es Salaam, Tanzania.
Burudani ya ngoma kutoka #Tanzania #Kenya #Uganda #Burundi #Rwanda ikipamba moto katika uwanja wa Uhuru wakati wa ufunguzi wa Tamasha la JAMAFEST.

Ngoma ya #Burundi ikipamba moto wakati wa ufunguzi wa Tamasha la JAMAFEST linalofanyika jijini Dar es Salaam, Tanzania.
Ngoma ya #Kenya ikipamba moto wakati wa ufunguzi wa Tamasha la JAMAFEST linalofanyika jijini Dar es Salaam, Tanzania.


Ngoma ya #Uganda ikipamba moto wakati wa ufunguzi wa Tamasha la JAMAFEST linalofanyika jijini Dar es Salaam, Tanzania.
Burudani ya ngoma kutoka #Tanzania #Kenya #Uganda #Burundi #Rwanda ikipamba moto katika uwanja wa Uhuru wakati wa ufunguzi wa Tamasha la JAMAFEST.
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post