Picha : RAIS MAGUFULI NA RAIS MUSEVENI WAFUNGUA KONGAMANO LA KIBIASHARA LA TANZANIA NA UGANDA | MALUNDE 1 BLOG

Friday, September 6, 2019

Picha : RAIS MAGUFULI NA RAIS MUSEVENI WAFUNGUA KONGAMANO LA KIBIASHARA LA TANZANIA NA UGANDA

  Malunde       Friday, September 6, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Dkt John Pombe Magufuli akihutubia wakati wa ufunguzi wa kongamano la kwanza la kibiashara kati ya Tanzania na Uganda lililofanyika jijini Dar es Salaam. Kongamano hilo limewashirikisha wafanyabiashara wa Tanzania na Uganda huku wakiongozwa na marais Dkt John Pombe Magufuli na Mhe. Yoweri Museveni. Picha zote na Matokeo Chanya+.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Dkt John Pombe Magufuli akihutubia wakati wa ufunguzi wa kongamano la kwanza la kibiashara kati ya Tanzania na Uganda lililofanyika jijini Dar es Salaam. Kongamano hilo limewashirikisha wafanyabiashara wa Tanzania na Uganda huku wakiongozwa na marais Dkt John Pombe Magufuli na Mhe. Yoweri Museveni. 
Wafanyabiashara wa Tanzania na Uganda wakifuatilia hotuba za marais wa Tanzania na Uganda.
Rais wa Uganda Rais Yoweri Museveni akihutubia wakati wa ufunguzi wa kongamano la kwanza la kibiashara kati ya Tanzania na Uganda lililofanyika jijini Dar es Salaam. Kongamano hilo limewashirikisha wafanyabiashara wa Tanzania na Uganda.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Dkt John Pombe Magufuli akifuatilia hotuba ya Rais wa Uganda Mheshimiwa Yoweri Museveni wakati wa ufunguzi wa kongamano la kwanza la kibiashara kati ya Tanzania na Uganda lililofanyika jijini Dar es Salaam.
Wafanyabiashara wa Tanzania na Uganda wakifuatilia.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Palamagamba Kabudi akiwakaribisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Dkt John Pombe Magufuli na Rais wa Uganda Mheshimiwa Yoweri Museveni wakati wa ufunguzi wa kongamano la kwanza la kibiashara kati ya Tanzania na Uganda lililofanyika jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Palamagamba Kabudi,
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post