WAZEE WATANO WAKAMATWA WAKIFANYA NGONO HADHARANI WAKIMCHANGIA MWANAMKE MMOJA | MALUNDE 1 BLOG

Friday, August 23, 2019

WAZEE WATANO WAKAMATWA WAKIFANYA NGONO HADHARANI WAKIMCHANGIA MWANAMKE MMOJA

  Malunde       Friday, August 23, 2019

Wazee sita wenye umri wa kuanzia miaka 62 hadi 85 wamekamatwa na polisi baada ya kukutwa wakifanya mapenzi kwa kuchangia mwanamke mmoja hadharani.Wazee hao, wanaume watano walikamatwa wakifanya mapenzi na mwanamke pekee mwenye umri wa miaka 85.

Mume wa mwanamke huyo naye alikuwa kwenye kundi la wanaume watano walioshiriki mapenzi hadharani.

Kwa mujibu wa polisi watuhumiwa hao ni Daniel Dobbins(67)OttoWilliams(62), Charles Ardito(75), John Linartz (62), Richard Butler(82) na mkewe JoyceButler (85).

Watuhumiwa hao walikamatwa wakifanya uhalifu huo kwenye Hifadhi ya Grace Richardson iliyopo mji wa Fairfield na wamefunguliwa mashitaka kwa kufanya vitendo vyenye kuvuruga amani.

Hata hivyo, watuhumiwa wote hao waliachiwa kwa dhamana baada ya kuahidi kufika mahakamani wenyewe.

Dobbins aliwahi kukamatwa 2017 baada ya polisi kupata taarifa za kuonekana akitembea uchi kwenye hifadhi nyingine.


Polisi walipofika eneo la bustani walimkuta Dobbins akiwa uchi kwenye gari yake na walipomuhoji alidai anafanya hivyo kwa lengo la kupata tiba.

Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post