LUGOLA APIGA MARUFUKU BAJAJI NA BODABODA KULIPISHWA FAINI PAPO KWA PAPO | MALUNDE 1 BLOG

Friday, August 2, 2019

LUGOLA APIGA MARUFUKU BAJAJI NA BODABODA KULIPISHWA FAINI PAPO KWA PAPO

  Malunde       Friday, August 2, 2019

Waziri  wa Mambo ya Ndani ya Nchi Kangi Lugola amepiga marufuku Bajaji na Bodaboda kulipishwa faini papo kwa papo wanapofanya makosa ya barabarani badala yake amewataka Polisi kutoa siku 7 kama wanavyofanya kwa magari.

Lugola ameyasema hayo katika mkutano wa Wamiliki na Waendeshaji wa vyombo hivyo, Mjini Moshi, leo.


Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post