Video: RAIS MAGUFULI AWAJULIA HALI MAJERUHI WA AJALI YA MOTO MUHIMBILI

Rais Magufuli amewatembelea majeruhi waliolazwa hospitali ya Taifa Muhimbili kutokana na ajali ya moto iliyotokana na mlipuko wa mafuta yaliyokuwa yamebebwa kwenye lori la kubeba mafuta lililopata ajali jana mkoani Morogoro.


Tazama hapo chiniDownload/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post