Albert Msando amlipia Rais Magufuli deni Muhimbili

Alberto Msando ambaye ni Wakili wa kujitegemea amefika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa ajili ya kulipa MILIONI 5 ambazo Rais John Magufuli aliahidi kuzitoa kumlipia Mama aliyemlilia akitaka alipiwe gharama hizo ili apatiwe mwili wa Mama yake.Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post