Picha : MUONEKANO WA JENGO NAMBA 3 (TERMINAL III) KATIKA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA JULIUS NYERERE

Picha hizi ni za Muonekano wa jengo namba 3 (Terminal III) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam likiwa katika majaribio. 


Jengo hilo lina uwezo wa kuhifadhi ndege kubwa 24 kwa wakati mmoja, na litahudumia abiria milioni 6 kila mwaka.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post