ORODHA YA SHULE 10 BORA KITAIFA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2019

Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya kidato sita mwaka 2019 na kutaja shule kumi bora zilizofanya vizuri katika mtihani huo.

Akizungumza leo Alhamisi Julai 11, 2019 visiwani Zanzibar wakati akitangaza matokeo hayo katibu mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania (Necta), Dk Charles Msonde amesema shule iliyoshika nafasi ya kwanza ni Kisimiri ya mkoani Arusha iliyokuwa na watahiniwa 60.

Msonde amesema Feza Boys ya jijini Dar es Salaam yenye watahiniwa 87 imeshika nafasi ya pili ikifuatiwa na Ahmes ya mkoani Pwani iliyokuwa na watahiniwa 112.
1.Kutazama matokeo ya Kidato cha Sita  <<BOFYA HAPA>>

2.Kutazama Matokeo Ya Mtihani Wa Ualimu 2019  <<BOFYA HAPA>>

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527