Video : FUNDI UJENZI AJIKATA NYETI ZAKE ...ASHIKILIA KIPISI CHA UUME AKIDAI ANAMTUMIKIA MUNGU

Karimu M. Mshamu
Polisi Mtwara wanamshikilia Karimu M. Mshamu (35) ambae video yake inasambaa akiwa ameshikilia kipisi cha sehemu ya uume wake akidai ameamua kukata kikojoleo chake  ili kumtumikia Mungu na kujiepusha na zinaa.


Tukio hilo limetokea saa 12 asubuhi June 14,2019 katika kijiji cha Kitangari Newala mkoani Mtwara. 

Inaelezwa kuwa jamaa huyo ambaye ni fundi ujenzi alikata uume wake na kidole cha shahada mkono wa kushoto na alipelekwa hospitali kwa ajili matibabu.

TAZAMA VIDEO

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post