Video Mpya : TRIZAH B - SINA TIME


Nakualika kutazama video mpya ya Msanii Trizah B,msanii wa kike wa nyimbo za kizazi kipya kutoka Kenya mwenye asili ya Tanzania inaitwa Sina Time.

Wimbo huu umerekodiwa JANESON RECORDS studio iliyopo Nairobi-Kenya na producer HAMADOO, video imeongozwa na Director Trey Juelz vilevile kutoka Kenya.Video ya wimbo huu imeandaliwa Kilifi nchini Kenya.
Itazame video hii hapa chini

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post