TAIFA STARS WAKABIDHIWA BENDERA YA TAIFA KUELEKEA AFCON KESHO

Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo Juliana Shonza amemkabidhi bendera Nahodha wa Taifa Stars Mbwana Samatta tayari kwa safari ambapo kikosi cha timu ya taifa kitaondoka kesho kwenda nchini Misri kuweka kambi ya wiki mbili kikijiandaa na AFCON.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post