TAARIFA UMMA KUHUSU KIKAO CHA KAMATI KUU(CC) NA HALMASHAURI KUU YA TAIFA (NEC) YA CHAMA CHA MAPINDUZI | MALUNDE 1 BLOG

Sunday, June 23, 2019

TAARIFA UMMA KUHUSU KIKAO CHA KAMATI KUU(CC) NA HALMASHAURI KUU YA TAIFA (NEC) YA CHAMA CHA MAPINDUZI

  Malunde       Sunday, June 23, 2019

Chama cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania kinatarajia kufanya vikao vyake Kamati Kuu (CC) pamoja na Halmashauri kuu (NEC) wiki ijayo Dar es Salaam.


Wakati kikao cha kamati kuu vitafanyika Juni 26, 2019 kikao cha NEC kitafanyika Juni 27,2019 na kitakuwa cha kawaida kwa mujibu wa kalenda ya chama na Katiba ya CCM ibara ya 101(2).

Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari  Ijumaa Juni 22, 2019 na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole ilisema kikao cha Kamati kuu kikitanguliwa na vikao vya Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa kitakachofanyika Juni 24,2019 na kufuatiwa na semina ya makatibu wa mikoa Juni 25, 2019.Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post