SIMBA SC WADONDOSHA MWINGINE


MCHEZAJI wa Singida United, Keneddy Juma ''mwili jumba' leo ametangazwa kujiunga na kikosi cha Simba kwa kandarasi ya miaka miwili.
Juma anakuwa mchezaji wa pili mpya kutoka ndani ya Nchi kwa Simba kupewa mkataba  baada ya mlinda mlango Beno Kakolanya kusaini kandarasi ya miaka miwili ndani ya Simba.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post