SIMBA YAMUONGEZEA MKATABA MWAMBA WA LUSAKA 'CLATOUS CHOTA CHAMA' | MALUNDE 1 BLOG

Wednesday, June 26, 2019

SIMBA YAMUONGEZEA MKATABA MWAMBA WA LUSAKA 'CLATOUS CHOTA CHAMA'

  kisesa       Wednesday, June 26, 2019


Klabu ya Simba ya Jijini Dar es Salaam imeendelea kukisuka kikosi chake baada ya hii leo kumuongezea mkataba mchezaji wake nyota  Raia wa Zambia Clatous Chota Chama.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram ambao kwa sasa katika kipindi hiki cha usajili imekuwa ikitambulisha wachezaji ambao imewasajili kuelekea msimu mpya wa mashindano 2019/2020.

Mfungaji huyo wa magoli ya mwisho ambayo yaliipeleka Simba kwenye hatua ya makundi na robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Clatous Chota Chama (Triple C) bado yupo sana Msimbazi. 

Mwamba wa Lusaka ataendelea kuwa sehemu ya kikosi cha Mabingwa wa ligi kuu soka Tanzania Bara msimu wa 2018/19 baada ya kusaini mkataba mpya wa miaka miwili.

Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post