RAIS MAGUFULI ASHIRIKI MISA TAKATIFU YA MAADHIMISHO YA SHEREHE EKARISTI TAKATIFU KANISA LA MTAKATIFU PETRO DAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Padre Dkt. Alister Makubi, Paroko wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es salaam baada ya kushiriki Misa ya Maadhimisho ya Sherehe ya Ekaristi Takatifu kanisani hapo katika leo Jumapili Juni 23, 2019. Katikati ni Paroko Msaidizi wa kanisa hilo Padre Paul Haule na Mzee wa Kanisa Dkt. Aldehem Meru

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishiriki katika Misa ya Maadhimisho ya Sherehe ya Ekaristi Takatifu katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es salaam leo Jumapili Juni 23, 2019


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527