WANAHABARI WAPEWA ELIMU KWA VITENDO ENEO LA MRADI WA UMWAGILIAJIAKWA NJIA YA MATONE


Kaimu mkurugenzi wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) Naliendele Dk. Fortunatus Kapinga aliyekaa kati kati hivi karibuni akitoa elimu kwa vitendo kwenye eneo la mradi wa umwagiliaji kwa njia ya matone katika Taasisi hiyo kwa waandishi wa habari kutoka Lindi na Mtwara na watafiti walioshiriki mafunzo hivi karibuni ya Sayansi na Teknolojia, kulia kwake ni kaimu mkurugenzi kutoka Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) Dk. Msangi Bakari, mwigine ni mtafiti wa mazao ya mafuta katika Taasisi hiyo Joseph Nzunda (PICHA NA FATNA MWINYIMKUU) 
Pichani ni eneo la mradi wa umwagiliaji kwa njia ya matone katika Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) Naliendele. 

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527