WAUGUZI WA HOSPITALI ZA JAKAYA KIKWETE NA BENJAMIN MKAPA WAPEWA MAFUNZO NA HOSPITALI YA SUNNING HILL YA AFRIKA KUSINI


Mtaalamu wa chumba cha upasuaji mdogo wa moyo kupitia tundu dogo kwa kutumia mtambo wa Cath Lab kutoka Hospitali ya Sunning Hill iliyopo Johannes Burg nchini Afrika ya Kusini Fill Longano akiwafundisha wauguzi na mafundi sanifu wa moyo kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Hospitali ya Benjamini Mkapa (BMH) pamoja na Hospitali ya Aga khan namna ambavyo wanapaswa kuwahudumia wagonjwa wa moyo wanaopata matibabu ya moyo kwa kutumia mtambo wa Cath Lab leo katika Hoteli ya Protea Jijini Dar es Salaam
Baadhi ya wauguzi na mafundi sanifu wa moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakifuatilia mafunzo ya namna ya kumhudumia mgonjwa wa moyo anayepata matibabu kupitia mtambo wa Cath Lab yaliyotolewa na Mtaalamu wa chumba cha upasuaji mdogo wa moyo kupitia tundu dogo kwa kutumia mtambo wa Cath Lab kutoka Hospitali ya Sunning Hill iliyopo Johannes Burg nchini Afrika ya Kusini leo katika Hoteli ya Protea Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wauguzi na mafundi sanifu wa moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na Hospitali ya Benjamini Mkapa (BMH) wakifuatilia mafunzo ya namna ya kumhudumia mgonjwa wa moyo anayepata matibabu kupitia mtambo wa Cath Lab yaliyotolewa na Mtaalamu wa chumba cha upasuaji mdogo wa moyo kupitia tundu dogo kutoka Hospitali ya Sunning Hill iliyopo Johannes Burg nchini Afrika ya Kusini leo katika Hoteli ya Protea Jijini Dar es Salaam.
Maafisa Uuguzi na mafundi sanifu wa moyo wanaotoa huduma katika chumba cha upasuaji mdogo wa moyo kupitia tundu dogo kwa kutumia mtambo wa Cath kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Hospitali ya Benjamini Mkapa (BMH) pamoja na Hospitali ya Aga khan katika picha ya pamoja baada ya mafunzo ya siku mbili ya namna ya kumuhudumia mgonjwa wa moyo anayepata matibabu kwa kutumia mtambo wa cath lab.
Picha na: Genofeva Matemu – JKCI

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527