PIERRE LIQUID ATUA BUNGENI DODOMA



Peter Mollel maarufu Pierre Konki Liquid leo Jumatano April 3, 2019 yuko ndani ya ukumbi wa Bunge tayari kwa kushuhudia wabunge wakiendelea na kikao cha pili cha mkutano wa Bunge la Bajeti, jijini Dodoma leo.

Amepokelezwa na Spika wa Bunge Job Ndugai na Naibu Spika Dr Tulia Ackson

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527