Video Mpya : MAMA USHAURI - SAMIA SULUHU


Hii hapa video ya wimbo wa Msanii wa Nyimbo za asili Mama Ushauri kuhusu Makamu wa Rais Mhe. Mama Samia alipofanya ziara mkoani Shinyanga mwezi Februari 2019. Itazame hapa chini

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527