JISHINDIE MPAKA MILIONI 23 UKIWA NA Infinix ZERO 6


Kwa mara nyingine tena kampuni ya simu ya Infinix kutikisa soko la simu barani Afrika baada ya ujio wa Infinix ZERO 6, ikiwa ni muendelezo wa toleo la ZERO linalowakilisha kampuni ya Infinix. Infinix ZERO 6 inathibitika kuwa na uwezo mkubwa wa kupiga picha nzuri kutokana na megapixel 12+24 ultra-resolution dual camera iliyoambatanishwa na teknologia ya AI.

Infinix ZERO 6 inapatikana katika maduka ya Infinix na Vodacom ikiwa na ofa ya GB 12 kwa miezi mitatu na zawadi nyingine. na Kutokana na ubora wa camera ya ZERO6, Infinix wanawapa wateja wao nafasi ya kujishindia Dola 10,000 (Sawa na Millioni 23 za Tanzania) kupitia kampeni yao ya “Beautiful Pictures”. Kufahamu zaidi namna ya kushiriki, tembelea kurasa zao za Facebook Infinix Mobile Tanzania.

Kwa maelezo Zaidi kuhusiana na bidhaa za Infinix tembelea:
http://www.infinixmobility.com/

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post