AMBER RUTY HAJAKOMA, KAPOST TENA UJINGA MTANDAONI | MALUNDE 1 BLOG

Monday, March 18, 2019

AMBER RUTY HAJAKOMA, KAPOST TENA UJINGA MTANDAONI

  Malunde       Monday, March 18, 2019

Video Vixen, Amber Ruty ambaye hapo jana ameanza ku 'trend' kwenye mitandao ya kijamii baada ya kusambaa kwa video akiwa mtupu jukwaani.

Hata hivyo Amber Rutty amefunguka juu ya tukio hilo la aibu, na kusema ni pombe ndio zimepelekea kufanya vile na kamwe hawezi kuvaa tena vazi kama lile.

Akizungumza na www.eatv.tv Amber Ruty amesema mambo yote aliyoyafanya yallitokana na pombe, na hata nguo aliyovaa iliyomuacha wazi baadha ya sehemu za siri zikionekana, hakuivaa.

“Mimi nilikuwa nimelewa, mimi sikuvaa zile nguo nilivyotoka nyumbani, tulivyoenda club kwenye saa 8 au saa tisa ndio nikajikuta nimevaa nguo ile, na siwezi kuvaa nguo kama zile kwenye maisha yangu yote, sijui nisemeje, kwa kifupi siko sawa”, amesema Amber Ruty.

Ikumbukwe kuwa video vixen huyo tayari ana kesi mahakamani ambayo anaweza akafungwa miaka 30 jela, iwapo atakutwa na hatia, baada ya kuvuja kwa video zake zikimuonesa akiingiliwa kinyume na maumbile, na mpenzi wake Saidi Mtopali jambo ambalo ni kinyume na sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post