Breaking News : TAZAMA HAPA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2018 NA QT 2018 YAMETANGAZWA

MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) 2018 NA MTIHANI WA MAARIFA (QT) 2018 YAMETANGAZWA.YAANGALIE HAPA CHINI KWA KUBONYEZA LINK


NJIA RAHISI YA KUONA MATOKEO

Watumiaji wengi wa simu za mkononi hata wale wanaotumia computer/laptop hushindwa kuona matokeo kutokana na jinsi yalivyopangiliwa.


Malunde1 blog tupo kwa ajili ya kukuhudumia.Kama unatumia simu

1.Fungua link ya matokeo 


2.Angalia juu kulia kwenye simu yako,utaona vidoti vitatu 

3.Bonyeza penye vidoti utaona sehemu imeandikwa Find in page

4.Bonyeza palipoandikwa Find in page utaona  sehemu ya kuandikia...kisha andika jina la Shule unayotaka...kiulaini kabisa utaona unachokitaka. Kama unatumia Computer/Laptop


1.Fungua link ya matokeo 2. Shikilia palipoandikwa CTRL na F3.Utaona kibox ambapo utaandika jina la shule unayotaka

Pakua App mpya ya Malunde 1 blog imeboreshwa zaidi ili kukidhi mahitaji ya wasomaji wetu. Hii ndiyo mpya kabisa,ina alama hii ↡↡
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Ni rahisi sana : Ingia Play store kisha Andika Malunde 1 blog halafu bonyeza Install

https://bit.ly/2Qb7qyF


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post